Rais Dkt.JKakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Uhuru Kenyatta(Wanne kushoto), Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda(Wapili kulia),Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi(kushoto),Waziri Mkuu wa Rwanda Pierre Habumuremyi(Wapili kushoto) pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Prosper Bazombanza(kulia) wakikata tepe katika vitabu vya muongozo wa mahakama ya Afrika ya Mashariki katika uzinduzi uliofanyika wakati wa Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa AICC mjini Arsuha leo(picha na Freddy Maro).
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment