Na Happiness Katabazi
CHUO Kikuu Cha Bagamoyo (UB) Dar es Salaam, kimewataka
wahitimu walioitimu kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii
kutumia taaluma hiyo waliyoipata Katika nchi za Afrika Mashariki bila woga ili
waweze Kuwatetea wananchi ambao Haki zao zinapunjwa na hawajui jinsi ya
kuzidai.
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa
Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), Dk.Natujwa Mvungi juzi
katika mahafali ya kuwakabidhi jumla ya wahitimu 10 yaliyofanyika Katika Ukumbi
wa chuo hicho uliopo KAWE Beach Da es Salaam, ambapo Mafunzo hayo yalifadhiliwa
na taasisi ya Akiba Uhaki Foundation ya nchini Kenya.
Dk.Natujwa ambaye pia ni
Mratibu wa kozi hiyo Alisema kozi hiyo Ulianza Septemba Mwaka Jana na
kumalizika Machi mwaka huu, ambapo wahitimu Hao ambao ni raia toka nchini
za Afrika Mashariki wakiwa fursa ya kafundishwa na Wanasheria toka vyuo
mbalimbali jinsi ya kuwaza Kuwa watetezi wa Haki za binadamu kila kila nchi zao
Kwani ni wazi kuna baadhi ya watu wanakunyana Haki za binadamu na wanaovunjiwa
Haki hizo hawana uelewa wa jinsi kuzidai Haki hizo.
"UB imewafundisha jinsi
ya kufahamu Haki za binadamu ni zipi?na wa jibu wa binadamu wa serikali na
Jamii yake ni upo na Jinsi ya kuzidai Haki hizo....tunaimani mnavyorudi nchini
kwenu mtaenda kutumia elimu hii mliyoipata kwa vitendo ili wale ambao
hawajafanikiwa Kuipata elimu hiyo waweze kunufaika na elimu mliyoipata"
Alisema Dk. Natujwa.
Kwa upande wake Rais wa Chama
Cha Tanganyika Law Society(TLS)" Charles Rwechungura, akipongeza UB, na
Taasisi ya Akiba Uhaki KWA kuendesha Mafunzo hayo kutoka Kwa wahitimu Hao
wanaogombea nchi za EAC Kwani licha ya swaps mwanga wahitimu Hao w kufahamu
Haki za binadamu pia zimeimaimalisha mahusiano Mema haina a kataifisha hayo na
kuwataka wahitimu Hao wakaitumie vyama elimu waliyoipata Katika Jamii
zinazowazunguka.
Mkuu wa Maktaba wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Masawe akizungumza wakati wa hafla ya utoaji vyeti kwa wahitimu wa Kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu na Haki za Kijamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Dk. Kasoga akisoma hotuba yake.
Mratibu wa Mafunzo hayo kutoka akibaUhaki, Kepta Ombati akizungumza wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa wahitimu wa Kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce Gura akizungumza wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa wahitimu wa kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Dk.Natujwa Mvungi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na wahitimu wa kozi ya Utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.
Gachichi Gachere akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce Gura.
Mariamu Zablon akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa wahitimu wa kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), Dk.Natujwa Mvungi (kushoto), na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce Gura (katikati), wakimkabidhi cheti, Amos Charo Saro kutoka Kenya.
Kulia ni Trambona Aniella kutoka Burundi akiwa na Hakizayezu Danile kutoka Rwanda wakiwa na vyeti vyao.
Baadhi ya wahitimu.
Mgeni rasmi akipata chakua.
Prof. Palamagamba Kabudi akipata chakula.
Badhi ya wageni waalikwa wakipata chakula.
Wageni waalikwa wakipata chakula.
Chakula cha jioni.
Mgeni rasmi akiwa kaptika picha ya pamoja na waadhiri wa Chuo kikuu cha bagamoyo pamoja na wahitimu wa Chuo hicho.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Wahitimu wa Kozi ya Picha ya pamoja.
Mkuu wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Natujwa Mvungi (wa pili kushoto), akiwa na baadhi ya wahitimu wa kozi hiyo. Kulia ni Mhadhiri wa Chuo hicho.
No comments:
Post a Comment