Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM Sixtus
Mapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki,
kuwa Kamanda wa Vijana wilaya ya Same mkoani
Kilimanjaro.
|
Katibu mkuu wa umoja wa Vijana UVCCM, Sixtus
Mapunda
akimsomea , Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki kiapo
cha ukamanda.
|
Naibu waziri wa Sheria na
Katiba Angellah Kairuki, akila kiapo cha kusimikwa kuwa kamanda wa
umoja wa vijana UVCCM wilaya
ya Same.
|
Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah
Kairuki
akizindua Shina la wakereketwa wa umoja wa Vijana Uvccm, baada ya
kusimikwa kuwa kamanda wa umoja huo wilayani Same.
|
No comments:
Post a Comment