Wasanii wa kikundi cha sarakasi cha bendi ya Mjomba, wakiburudisha
wananchi waliofika kwenye banda la PSPF, ili kujipatia maelezo ya huduma
zitolewazo na Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar
wes Salaam.
Msanii gwiji wa Tanzania, Mrisho Mpoto, akifanya vitun vyake
wakati wa kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwenye
maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya
Mwalimu Nyerere.
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye banda la Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, wakifuatilia maonyesho mbalimbali yanayoelezea huduma zitolewazo na Mfuko
huo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere wakati wa Maonyesho ya 38 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam.
Wasanii wa kikundi cha sanaa za maonyesho cha Mjomba Band,
wakifanya vitu vyao kwenye banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye maonyesho
ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenyeb viwanja vya Mwalimu
Nyerere.
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye banda la Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, wakifuatilia maonyesho mbalimbali yanayoelezea huduma zitolewazo na Mfuko
huo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere wakati wa Maonyesho ya 38 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam Jumapili.
Mkazi wa jiji la Dar es Salaam (Kushoto), akipatiwa ufafanuzi na Ofisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye banda la Mfuko huo wakati wa
Maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimun Nyerere
jijini Dar es Salaam.
Mkzi huyu wa Dar es Salaam, akipigwa picha na Ofisa wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, baada ya kujiunga na Mfuko huo kwenye banda la PSPF kwenye
maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya
Mwalimu Nyerere.
Mkazi wa jiji la Dar es Salaam (Kushoto), akipatiwa ufafanuzi na Ofisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye Banda la Mfuko huo wakati wa
Maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimun Nyerere
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment