Wanachama wa Simba wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Viongozi wa Klabu ya Simba katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Francis Dande)
Michael Wambura akiwasiliana kwa simu nje ya ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Uchgaguzi wa Klabu ya Simba. Kushoto ni aliyekuwa Kampeni Meneja wake, Majaliwa Mbasa
Mgombea aliyeenguliwa katika uchaguzi wa Simba, Michael Wambura akisalimiana na wanachama wa klabu hiyo nje ya ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Uchgaguzi wa Klabu hiyo.
Wanachama wakiwa katika mistari kwenda kuhakiki kadi zao.
Ulinzi uliimarishwa katika uchaguzi huo.
Michael Wambura akiwasiliana kwa simu nje ya ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Uchgaguzi wa Klabu ya Simba. Kushoto ni aliyekuwa Kampeni Meneja wake, Majaliwa Mbasa
Mgombea aliyeenguliwa katika uchaguzi wa Simba, Michael Wambura akisalimiana na wanachama wa klabu hiyo nje ya ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Uchgaguzi wa Klabu hiyo.
Ulinzi uliimarishwa katika uchaguzi huo.
Wanachama wakihakiki kadi zao.
Mgombea wa Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Godfrey Nyange 'Kaburu' akizungumza na baadhi ya wanachama kabla ya uchaguzi.
Mgombea akijinadi.
Mgombea wa nafasi ya Kamati ya Utendaji wa Simba, Asha Muhaji akijinadi mbele ya wapiga kura.
Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu akiwa Rais aliyemaliza muda wake, Ismail Aden Rage.
Ibrahim Masoud Maesto akijinadi.
Mbunge wa Mtwara, Mohamed Murji, Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu na Rais wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage.
Tunaomba kura zenu..............
Nitaleta Maendeleo mkinichagua mimi..........................
Simba Oyeeeeeee......................
Jamhuri Kihwelo akielekea kujinadi kwa wanachama wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Simba.
Jamhuri Kihwelo 'Julio' akiomba kura.
Wagombea wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Andrew Tupa, Evans Aveva.
Wagombea wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Andrew Tupa (kupara), Swed Nkwabi, Jamhuri Kihwelo 'Julio' na Evans Aveva.
Jamhuri Kihwelo 'Julio'akimwaga sera zake.
Jamhuri Kihwelo 'Julio'akimwaga sera zake.
Jamhuri Kihwelo 'Julio'akimwaga sera zake.
Jamhuri Kihwelo 'Julio'
Kaburu akijinadi kwa wapiga kura.
Jamhuri Kihwelo 'Julio' akiteta na Evans Aveva.
Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Simba, Amin Bakhressa.
Evans Aveva akijadiliana jambo na Hans Pope.
Mgombea wa nafasi ya Urais, Andrew Tupa akijinadi.
Mgombea wa nafasi ya Urais, Evans Aveva akijinadi.
Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Simba, Amin Bakhressa akionesha fomu za uchaguzi.
Mmeona hakuna kitu humu....
Asha Muhaji akipiga kura.
Wagombea wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Simba, Evans
Aveva (katikati) na Andrew Tupa na wakipiga kura
wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa klabu hiyo uliofanyika jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment