HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 09, 2014

MHARIRI MTENDAJI WA JAMBO LEO APATA JIKO

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa akiwa bashasha mara baada ya kufunga ndoa na Levina katika Kanisa Katoliki la Manzese jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Baadhi ya wafanyakazi wenzake na bwana harusi wakiwa katika pozi tofauti za picha. Kutoka kushoto ni Asha Kigundula, Asha Bani, Clezencia Tryphone na Abdalah Khamisi.
Wanakamati wakiwa katika picha ya pamoja.
Poziii za picha
Bwana Harusi akifungua muziki.
Asha Bani (kushoto), akisakata rhumba na Clezenia Typhone.
Muziki ukichukua nafasi yake.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa akiwa na Clezencia Typhone (kushoto) na Asha Bani.
Maharusi wakitoka ukumbini.

No comments:

Post a Comment

Pages