HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 24, 2014

BAVICHA NA UCHAGUZI WA VIONGOZI

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John Heche akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kuanza kwa uchaguzi wa nafasi za uongozi wa ngazi ya majimbo, wilaya, mikoa na ngazi ya taifa. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu-Bavicha, Ester Daffi na Katibu Mkuu wa Bavicha, Deogratias Munishi. (Picha na Francis Dande)

Naibu Katibu Mkuu-Bavicha, Ester Daffi akizungumza na waandiushi wa habari.

No comments:

Post a Comment

Pages