Benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars wakiongozwa na kocha msadizi, Salumu Mayanga katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Tukuyu Rungwe.
Wachezaji
wa Taifa Stars wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi
ya Msumbiji, wa kufuzu fainali za Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco.
Stars itapambana na Msumbiji Agosti 3 mjini Maputo.
Kiungo Stars, Amri Kiemba akipiga danadana juzi wakati wa mazoezi wa mwisho kwa ajili ya mchezo wa marudiano na timu ya taifa ya Msumbuji.
No comments:
Post a Comment