HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 23, 2014

KUMBUKUMBU YA MASHUJAA KUFANYIKA JULAI 25

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), litaadhinisha kumbukumbu ya Mashujaa tarehe 25 Julai 2014 kuanzia saa 2:00 asubuhi katikaViwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
MgenirasmianatarajiwakuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu Mhe (Dkt) Jakaya Mrisho Kikwete. 
   
 Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi,
S.L.P  9203,   Dar es Salaam,  Tanzania.
KwaMawasilianozaidi: 0783-309963

No comments:

Post a Comment

Pages