HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 21, 2014

TANGAZO LA KIFO


Ndugu Michael Machellah anatangaza kifo cha Mtoto wake, Everlyne Michael Machellah kilichotokea katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Mazishi yanatarajiwa kufanyika Julai-22. Marehemu alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha. Bwana Ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe Apumzike kwa Amani milele Amina.

No comments:

Post a Comment

Pages