HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 01, 2014

SIMBA YASHUSHA WAWILI MSIMBAZI

 Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (kushoto), akimkabidhi jezi, Shaban Kisiga, baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea Mtibwa Sugar. (Picha na Francis Dande)
 Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ akimkabidhi jezi, Elius Magulu (kushoto), baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea Ruvu Shooting. 
Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wapya waliosajiliwa na klabu hiyo, Elius Magulu (kushoto) na Shaban Kisiga, Makao Makuu ya klabu hiyo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages