Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile (kulia), akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.
Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TPDC, Dk.Wellington Hudson, akitoa mada katika semina hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile (wa tatu kulia), akiwa na viongozi wengine katika semina hiyo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mstaafu wa TPDC, Mr Killagane, Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TPDC, Dk.Wellington Hudson, Rais wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile, Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Vitega Uchumi wa TPDC, Mhandisi Joyce Kisamo na Kaimu Meneja wa Utafutaji wa TPDC
Kelvin Komba.
Kaimu Meneja wa Utafutaji wa TPDC, Kelvin Komba akitoa mada katika semina hiyo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Rais wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje akizungumza katika semina hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile (kulia), na wenzake wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa
kuhusu uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.
Ofisa Habari wa TPDC, Malick Munisi (kushoto), akiwaelekeza jambo wanahabari kuhusu semina hiyo. Imeandaliwa na www.habari za jamii.com. simu namba-0712-727062)
Mwanahabari wa Radio Times, Hellen Kwavava akiuliza swali kwenye semina hiyo.
Wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo.
Kaimu Meneja Mawasiliano wa TPDC, Sebastian Shana (wa pili kushoto), akiwa kwenye semina hiyo.
Wapiga picha wa vyombo mbalimbali wakichukua picha wakati viongozi wa TPDC wakijibu maswali.
No comments:
Post a Comment