HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 15, 2014

SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI

 Baadhi ya wachezaji wa Simba, Amri Kihemba (kushoto) na Said Nassoro 'Cholo' wakielekea kupanda boti katika Bandari ya Dar es Salaam leo, kwa ajili ya safari ya kwenda Zanzibar kwenye kambi ya mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanzai hivi karibuni. (Picha na Francis Dande)
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.
 Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe (wa pili kushoto) akiwa na wachezaji wenzake.
 Wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika boti kabla ya kuanza kwa safari ya kwenda kuweka kambi ya Mazoezi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Pages