HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 06, 2014

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA NHC NANENANE KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI

IMG-20140806-WA0003
Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC, Bi. Edith Nguruwe (katikati) akimuelekeza mwananchi aliyetembelea banda la NHC, kujaza dodoso la kufahamu uwezo na mahitaji ya nyumba kwa wananchi. (Picha kwa Hisani ya NHC)
IMG-20140806-WA0001
Banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa lililopo katika viwanja vya Ngongo, vilivyopo nje kidogo ya mji wa Lindi mkoani Lindi.
IMG-20140806-WA0002
Wageni mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa maafisa wa shirika la nyumba la taifa.
IMG-20140806-WA0000
Afisa Mauzo, Deogratius Batakanwa na Afisa Masoko Chediel Msuya wa NHC wakiwaelimisha Maafisa wa TFDA juu ya utaratibu wa kumiliki nyumba za NHC. Maafisa hao walifika katika banda la maonyesho la NHC kufahamu shughuli za Shirika la Nyumba na utaratibu wa manunuzi ya nyumba.

No comments:

Post a Comment

Pages