HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 23, 2014

KAMPUNI YA CANADIAN SOLUTIONS TRADING&CLEANING Est WATAMBULISHA TILES AINA MPYA ZISIZOKUWA NA UTELEZI KWENYE SOKO LA TANZANIA


 Wakurugenzi wa Kampuni ya  Canadian Solution Trading&Cleaning Est  Kutoka kulia ni Nale Nat Alyalei(Director) akifuatiwa na Mustafa Said,Khadija Naif Alyafa(Chairwoman) na Wa mwisho kushoto Naji Ahmed akifuatilia utambulisho wa bidhaaa inayouzwa na kampuni yao.
  Wageni waalikwa na Wadau wakifuatilia kwa makini Maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Mr Thomas
 Wadau mbalimbali wakiwa makini kusikiliza na Kusoma kila kilichokuwa kinaelezwa na Mr Thoma toka kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est Jana Kwenye Hoteli ya Double Tree Jijini Dar
 Mr Thomas toka kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est akionyesha mfano wa kitambaa ambacho ukimwagia maji hakilowi wala kushika maji ikiwa ni kuelezea namna bidhaa zao zilivyo.
 Mustapha Said Toka kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est akiwakaribisha wageni waalikwa  kwenda kwenye meza kuu kujione kwa macho ni namna gani bidhaa zao zinavyofanya kazi.
 Mr Thoma toka kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est Akiwanyesha kwa vitendo wageni waalikwa na wadau mbalimbali namna bidhaa zao zinavyofanya kazi kwenye mazingira tofauti.
 Wageni waalikwa Wakiendelea kupata maelezo na kuuliza maswali kwa Bwana Thomas  toka kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est jinsi bidhaa zao zilivyo na zina ubora gani
 Maelekezo yakiendela toka kwa Bwana Thomas kwa wageni mablimbali
 Wageni mbalimbali na wadau wakijaribu wenyewe ili kuweza kudhibitisha kile alichokuwa anaongea Bwana Thomas kuhusu Tiles zao.mpya ambazo hazina utelezi
 Wakurugenzi wa kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est Toka Kushoto ni Chair Woman Khadija Naif Alyafa akifuatiwa na Mustapha Said,Nala Nait Alyafa(Director) na Wa Mwisho Kulia ni Naji Ahmed.

No comments:

Post a Comment

Pages