Mkurugenzi
wa Airtel Huduma kwa Wateja,Bi.Adriana Lyamba akimkabidhi kombe Nahodha
wa timu ya Simba ya UDOM kwa kuibuka washindi wa mashindano ya Airtel
Uni 255,yaliyofanyika katika viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha
Dodoma (UDOM),Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani
Dodoma.
Baadhi ya Wanafunzi wa UDOM wakishangilia burudani iliyokuwa ikitolewa
kweye jukwaa la burudani la Airtel Uni 255,ambapo wasanii mbalimbali
walitumbuiza akiwemo Ney wa Mitego,Roma Mkatoliki pamoja na Vanessa Mdee
a.k.a V-Money.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Ney wa Mitego
akitumbuiza kwenye tamasha la Airtel Uni 255, lililofanyika katika
viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),Mashindano
hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Roma Mkatoliki akitumbuiza
kwenye tamasha la Airtel Uni 255, lililofanyika katika viwanja vya
michezo ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),Mashindano hayo
yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment