Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.
Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia kwenye Uwanja wa ndege wa
Mwalimu Julius Nyerere.
Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque.
Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque
(katikati) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius
Nyerere. Kushoto ni Andrey Coutinho
Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque (kushoto)
akiwasalimia mashabiki wa timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na mchezaji mwenzake Andrey Coutinho
(katikati).
Maximo akiwasili.
No comments:
Post a Comment