Baadhi ya watu wakishuhudia ajali ya basi aina ya Costal lenye
namba za usajili T410 BJD lililokuwa likifanya safari zake kati ya Tanga na
Lushoto likiwa limepinduka baada ya kugongana na Scania lenye namba namba T645 ABJ katika kijiji cha mkanyageni wilayani Muheza na kusababisha vifo vya watu
14. (Picha na Elizabeth Kilindi)
Mganga Mfawidhi wa hospitali ya teule wilayani Muheza, Rajabu Malamhiyo (kushoto) akiangalia hali ya majeruhi ambaye ni
dereva wa Scania iliyopata ajali yenye namba za usajili T645 ABJ
Benjamini Abeid.
No comments:
Post a Comment