HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 27, 2014

RIPOTI YA ESCROW BUNGENI, CCM WAFANYA MAZINGAOMBWE

Kinyume na tambo za kusimama kidete kuwashinikiza mawaziri wanapotuhumiwa katika kashfa ya uchotwaji fedha zaidi ya sh. bilioni 300 katika Akaunti ya Escrow kwenye Benki Kuu ya Tanzania, wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), waligeuka na kuwatetea watuhumiwa wasing'olewe na Bunge. Chanzo gazeti la Tanzania Daima.
Spika wa Bunge Anne Makinda akiongoza kikao cha Bunge wakati Serikali kuwasilisha ripoti ya Escrow bungeni Mjini Dodoma.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akisoma ripoti ya Serikali kuhusu sakata la Escrow, Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akizungumza, Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akizungumza, Bungeni mjini Dodoma.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati) na Mbunge wa Lshoto, Henry Shekifu kwenye jengo la Utawala la  Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole- Sendeka.

No comments:

Post a Comment

Pages