HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 26, 2014

Kongamano la Kisayansi lafanyika mjini Bagamoyo

Mkurugenziwa K&M Archplans (T) Ltd, Arch Albert Mwambafu akifafanua jambo kwa wajumbe wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (Tanzania Public Health Association-TPHA), (Hawapo pichani) wakati wa kongamano la 31 la Kisayansi na Mkutano mkuu wa mwaka wa TPHA unaoendelea katika ukumbi wa Stella Maris, mjini Bagamoyo. ambapo jengo ni mradi wa kuinua mapato ya TPHA kwa ajili ya kuendelea kuelimisha jamii kuhusiana na mambo ya afya. (Picha na Andrew Chale, Bagamoyo).

No comments:

Post a Comment

Pages