HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 25, 2014

JEBBY AMERUDI NA WIMBO MPYA

Msanii wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT jebby anatatajia kuachia wimbo wake mpya kuanzia tarehe 25 mwenzi huu au tareha 5 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.
 
akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.com amesema kuwa alikuwa amekaa kimya mda mrefu bila kuaachia wimbo wowote kutokana na changomoto za kimziki na maisha nje muziki.

 
hata hivyo jebby aliuambia mtandao huu kuwa wimbo wake ameufanya katika studio mazuu record na producer wa wimbo huu ni mazuu na kuomba watanzania kumpokea tena kama ambayo walikuwa wakimpokea hapo awari

No comments:

Post a Comment

Pages