Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya Wanawake Tanzania (TWB),
Magareth Chacha (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichai) wakati wa hafla ya kukabidhi hati
za viwanja kwa wateja walionunua na waliomaliza kulipa mikopo yao, Dar es
Salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa Benki hiyo, Aaron Nyanda na Mwanasheria wa Ardhi Plan Ltd, Musa Maghimbi. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya Wanawake Tanzania (TWB),
Magareth Chacha (wa pili kushoto)
akimkabidhi hati ya kiwanja, Mhindi Mayenga wakati wa hafla ya kukabidhi hati
za viwanja kwa wateja walionunua na waliomaliza kulipa mikopo yao, Dar es
Salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa Benki hiyo, Aaron Nyanda na kulia ni
Mwanasheria wa Ardhi Plan Ltd, Musa Maghimbi.
Wateja wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) wakiwa wameshika hati zao za viwanja baada ya kukabidhiwa na uongozi wa benki hiyo. Kutoka kushoto ni Belinda Rweyemamu, Mhindi Mayenga na Gabriel Kameka.
No comments:
Post a Comment