HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 07, 2014

WANAFUNZI 18 WAENDA CHINA KATIKA MASOMO YA UDAKTARI, MAFUTA NA GESI

Wanafunzi wanaokwenda kusoma katika vyuo vikuu vya nchini China wakipokea hati za kusafiria kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Universities Abroad Link, Tony Kabetha kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Jumla ya wanafunzi 18 walikwenda China kwa ajili ya masomo ya Udaktari, Uhandisi pamoja na Mafuta na Gesi. (Picha na Francis Dande)

2 comments:

  1. Mkuu Tony unafanya kweli wengi wameishi nje wametuletea picha za Ikulu "white House" wewe unatuonyesha njia towards our dreams. Ubarikiwe ,UAL

    ReplyDelete
  2. Greetings! Very helpful advice within this post! It is the little changes that produce the
    most important changes. Thanks a lot for sharing!
    Here is my web page ... vuelos a guangzhou

    ReplyDelete

Pages