Mweenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega katika
mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Paking. (Picha na Joseph Senga)
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwatambulisha viuongozi wa ngazi ya Kata wa Chama cha Wananchi (CUF),
kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Paking mjini Nzega.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiagana
na wananchi wa mji wa Nzega baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni
Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking.
No comments:
Post a Comment