Mshambuliaji
wa Yanga, Andrey Coutinho akichuana na beki wa Mgambo Shooting, Bushiru
Mohamed katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis
Dande)
Golikipa wa Ruvu Shooting, Said Lubawa akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja Taifa jijini Dar es Salaam.
Mrisho Ngasa (kulia) akimtoka Bushiru Mohamed.
Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya beki wa Mgambo shooting.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli lililofungwa na mshambuliaji wa
timu hiyo, Simon Msuva wakati timu hiyo ilipopambana na Mgambo Shooting
katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho akimtoka, mchezaji wa
Mgambo Shooting, Ally Idd katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania
Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment