Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka
(kushoto), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi wa pili
kushoto na Ofisa Mtendaji Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu wakifunua kitambaa
kuashiria uzinduzi wa Mikopo ya Elimu kwa wanachama wa PSPF jijini Dar es
Salaam. (Picha na Francis Dande)
Uzinduzi ulipendeza.
Uzinduzi ulipendeza.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (wa pili kushoto) akifuatilia uzinduzi huo.
Wafanyakazi wa Benki ya Posta wakiwa katika uzinduzi huo.
Wafanyakazi wa Benki ya Posta.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akiwaongozi viongozi wa kuu wa TPB na PSPF wakati wa kupata chai.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza wakati uzinduzi wa Mikopo ya Elimu na ile ya kuanzia maisha kwa wanachama wa PSPF jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Kazi na Ajira akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi (kushoto), Ofisa Mtendaji Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (wa pili kulia) na Balozi wa mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Mrisho Mpoto 'Mjomba'.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (katikati) akifurahia jambo na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu.
Baadhi ya wageni walioalikwa katika hafla hiyo.
Na Francis Dande
BENKI ya Posta
imetenga kiasi cha sh. bilioni 6 zimetengwa na mfuko wa Pensheni wa watumishi
wa Umma PSPFimepanga kutoka kwa wanachama wake kupitia huduma zake mpya ya
mikopo ya Elimu na mikopo ya kuanzia Maisha zilizozinduliwa Desemba 11 kwa
kushirikiana na Benki ya Posta Tanzania (TPB).
Akizungumza
katika uzinduzi huo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB),
Sabasaba Moshingi alisema kuwa mikopo hiyo itawawezesha wanachama wa PSPF
kuweza kutimiza ndoto zao za kupata Elimu.
Aidha kwa
upande wa mikopo ya kuanzia maisha Moshingi alisema kuwa mwanachama aliyepata
ajira kwa mara ya kwanza tunafahamu anamahitaji muhimu kwa kutambua hilo
tumeanzisha mpango kwa mwanachama kukopa mishahara yake ya miezi miwili
ya mwanzo ili aweze kujipanga na maisha mapya.
Naye Waziri wa
Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka aliwapongeza Benki ya Posta kwa kuwa wabunifu
na kuwapunguzia makali ya maisha wanachama aliyepata ajira kwa mara ya kwanza.
No comments:
Post a Comment