HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

January 27, 2015

VETA YASAINI MKATABA WA UJENZI WA KITUO CHA MAFUNZO YA UDEREVA CHA "ANZEN UNTEN" DAR ES SALAAM

 Majengo ambayo yanatarajiwa kumalizika kwa muda wa miezi mitatu itayo tayali kwa ajili ya mafunzo.
 Viongozi wa VETA na Japan wakiwa katika majengo hayo.
 Baadhi ya wadau wakiwa katika sherehe ya kutia saini mkataba.
 Mkuu wa Chuo cha VETA,Samuel Ng'andu (kushoto) na balozi mdogo wa Japan nchini, Kazuyoshi Matsunaga, wakitia saini mkataba wa Ujenzi wa Kituo cha mafunzo ya udereva cha "Anzen Unten"kilichopo Temeke eneo la Bunza Dar es Salaam. Wengine wanaoshuhudia kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa tathimini na Utoaji Vyeti VETA,Geoffrey Sabuni, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Sospeter Kondela, Mkurugenzi mkoa kanda ya  Dar es Salaam VETA,Peter Katabi, Afisa mnadhimu wa Kikosi cha Usalama barabarani, na Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP), Johansen Kahatano.
 Balozi mdogo wa Japan nchini, Kazuyoshi Matsunaga na Mkurugenzi mkoa kanda ya  Dar es Salaam VETA,Peter Katabi,wakibadilishana mawazo kabla ya kusaini mkataba.
 Sehemu ya wadau wa udereva.
 Sehemu ya walimu wa udereva na wanafunzi wa udereva.
 Sehemu ya vifaa vya kufundishia madereva.
 Balozi mdogo akiongea na vyombo vya habari.
 Majengo ambayo yanatarajiwa kumalizika kwa muda wa miezi mitatu itayo tayali kwa ajili ya mafunzo.
 Viongozi wa VETA na Japan wakiwa katika majengo hayo.
 Baadhi ya wadau wakiwa katika sherehe ya kutia saini mkataba.
 Mkuu wa Chuo cha VETA,Samuel Ng'andu (kushoto) na balozi mdogo wa Japan nchini, Kazuyoshi Matsunaga, wakitia saini mkataba wa Ujenzi wa Kituo cha mafunzo ya udereva cha "Anzen Unten"kilichopo Temeke eneo la Bunza Dar es Salaam. Wengine wanaoshuhudia kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa tathimini na Utoaji Vyeti VETA,Geoffrey Sabuni, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Sospeter Kondela, Mkurugenzi mkoa kanda ya  Dar es Salaam VETA,Peter Katabi, Afisa mnadhimu wa Kikosi cha Usalama barabarani, na Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP),Johansen Kahatano.
 Balozi mdogo wa Japan nchini, Kazuyoshi Matsunaga na Mkurugenzi mkoa kanda ya  Dar es Salaam VETA,Peter Katabi,wakibadilishana mawazo kabla ya kusaini mkataba.
 Sehemu ya wadau wa udereva.
 Sehemu ya walimu wa udereva na wanafunzi wa udereva.
 Sehemu ya vifaa vya kufundishia madereva.
 Balozi mdogo akiongea na vyombo vya habari.
 Kamanda Kondela akiongea na vyombo vya habari.
 Balozi mdogo wa Japan, Matsunaga (wa pili kushoto) Mkuu wa Chuo Samuel Ng'andu (kulia) wakicheza ngoma na wasanii wa kikundi cha Machozi Theatre Group wakati wa sherehe ya kusaini mkataba.
 Wadau wakifuatilia jambo.
Wasanii wa kikundi cha Machozi Theatre Group wakati wa sherehe ya kusaini mkataba.
small;"> Kamanda Kondela akiongea na vyombo vya habari.
 Balozi mdogo wa Japan, Matsunaga (wa pili kushoto) Mkuu wa Chuo Samuel Ng'andu (kulia) wakicheza ngoma na wasanii wa kikundi cha Machozi Theatre Group wakati wa sherehe ya kusaini mkataba.
 Wadau wakifuatilia jambo.
Wasanii wa kikundi cha Machozi Theatre Group wakati wa sherehe ya kusaini mkataba.

No comments:

Post a Comment

Pages