Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akisalimiana na Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akijitambulisha rasmi kwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa
Zanzibar Bwana Satendar Kumar Ofisini
kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment