Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia mabati, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.
Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia saruji, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.

Inspekta John Mkweru (kushoto) akiangalia msaada wa misumari uliotolewa na Konyagi kwa kituo hicho.
Mkaguzi wa Hesabu wa Konyagi, Thomas Munema (kulia), akikabidhi MISUMARI YA KENCHI KWA DEPUTY RCO WA CHANG'OMBE SP RAMADHANI KINGAI
Gari la Konyagi lililobeba msaada huyo
Mkaguzi wa Hesabu wa Konyagi, Thomas Munema (kushoto), akimkabidhi nyaraka za msaada huo, Inspekta Philip Bura.
Mkaguzi wa Hesabu wa Konyagi, Thomas Munema (kushoto), akimkabidhi fedha Inspekta Philip Bura kwa ajili ya mafundi watakaojenga kituo hicho.
Jengo la ofisi ambalo vifaa hivyo vitatumika kujengea
No comments:
Post a Comment