HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 24, 2015

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR NDUGU SEIF SHARIFF HAMAD

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo, Jumamosi, Mei 23, 2015 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Seif Shariff Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Ikulu Ndogo, Dodoma. Rais Kikwete akiagana na Mheshimiwa Hamad baada ya kumalizika kwa kikao hicho.

No comments:

Post a Comment

Pages