Meneja wa
Benki ya CRDB tawi la Meru jijini Arusha,
Leonce Matley akikabidhi misaada
kwa Mkurugenzi wa kituo cha watoto yatima cha St.Joseph Christina Mnate juzi
walipotembelea kituo hicho na kutoa misaada ya chakula na vifaa vya shule
katika kituo hicho kilichopo kata ya Moshono jijini Arusha ikiwa ni maadhimisho
ya wiki ya Mtoto Afrika. (Na Mpiga Picha Wetu)
Meneja wa
Benki ya CRDB tawi la Meru jijini Arusha
Leonce Matley akikabidhi misaada
kwa Mkurugenzi wa kituo cha watoto yatima cha St.Joseph Christina Mnate juzi
walipotembelea kituo hicho na kutoa misaada ya chakula na vifaa vya shule
katika kituo hicho kilichopo kata ya Moshono jijini Arusha ikiwa ni maadhimisho
ya wiki ya Mtoto Afrika.
No comments:
Post a Comment