HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 24, 2015

MSD KUWASILIANA NA OFISI ZA KANDA KWA MKONGO WA MAWASILIANO WA TAIFA

 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Biashara Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (kushoto) wakati wa hafla ya kufunga utekelezaji wa mradi wa mkongo wa mawasiliano wa taifa kati ya TTCL na MSD jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) 
 Picha ya Pamoja.
Wafanyakazi wa TTCL na MSD wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages