Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,
akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki
hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila
hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki
hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila
hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akizungumza katika hafla hiyo.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa (kulia) akiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB.
Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB.
Wakuu wa idara mbalimbali wa benki ya CRDB.
Naibu
Mkurugenzi wa Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Ester Kitoka (katikati) akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji
wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na
Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata
Bandyopadhayay.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari
wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.

Maofisa wa Benki hiyo.
No comments:
Post a Comment