HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 16, 2015

YANGA YAICHAPA MBEYA CITY 3-2

Beki wa timu ya Mbeya City, John Kabanda akimtoka mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Yanga ilishinda 3-2. (Picha na Kenneth Ngelesi)
 Mshambuliaji wa Yanga Dolnad Ngoma akiachia shuti kali ambalo alindikia timu yake bao la tatu.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindiwa timu yao.
Kikosi cha timu ya Yanga kilichopambana na Mbeya City.

No comments:

Post a Comment

Pages