Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi, aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki (kulia), akiwa chumba cha Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi yao.
(Picha na Francis Dande).
Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi, aliyekuwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki, akitoka katika Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, baada ya kupata dhamana na washtakiwa wenzake wawili ambao ni Aliyekuwa Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Habib Mponezya na Bulton Kaisi.
Masamaki akitoka Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana.
No comments:
Post a Comment