Kikosi cha timu ya Free Media Ltd (Tanzania Daima) kinachojiandaa na michuano ya NSSF Cup kikiwa katika picha pamoja kabla ya kupambana na timu ya Sahara Media Communications (Star TV) katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Azania Shule ya Sekondari. Free Media ilishinda 2-0. (Picha na Francis Dande)
Kikosi cha Sahara Media Communications.
Mshambuliaji wa Sahara Media Communications, Khalid Mliomi (kushoto) akiwania mpra na beki wa Free Media, Jabir Johnson.
Beki wa timu ya Free Media
Ltd, Said Powa akimtoka mshambuliaji wa Sahara Communications Ltd,
Khalid Mliomi.
Beki wa timu ya Free Media
Ltd, Said Powa akichuana na mshambuliaji wa Sahara Communications Ltd,
Khalid Mliomi.
Mfungaji wa bao la kwanza la Free Media, Mika Ndaba akimtoka beki wa Sahara Media Communications
Kiungo wa Free Media Ltd, Suleiman Jumbe akimiliki mpira huku
akizongwa na wachezaji wa timu ya Sahara Communications Ltd, katika mchezo wa
kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Azania jijini Dar
es Salaam juzi. Free Media ilishinda 2-0.
Mshambuliaji wa Free Media Ltd, Habib Abdallah akichuana na Khalid Mliomi.
No comments:
Post a Comment