HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 26, 2016

HASHIMU NA FATMA WAMEREMETA


Ilikuwa ni siku ya furaha pale Bw. Hashimu Ally Kivuyo (kushoto), alipofunga ndoa na Bi. Fatma Ally Abas. Ndoa ilifungwa nyumbani kwa Bi. Harusi mkoani Tanga. (Na Mpigapicha Wetu)
Baadhi ya ndugu na jamaa waliohudhulia ndoa ya Bw. Hashimu Ally na Bi. Fatma Abas.

No comments:

Post a Comment

Pages