Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni kutoka NSSF, Mhandisi Karim Mataka akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea mradi wa ujenzi wa daraja hilo jijini Dar es Salaam leo. (Na Mpigapicha Wetu)
Naibu waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde akizungumza wakati
wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea mradi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini
Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godius Kahyarara, wa pili
kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mohamed Omary na kulia ni Meneja Mradi wa
Ujenzi wa Daraja la hilo kutoka NSSF, Mhandisi Karim Mataka.
Meneja
Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo
akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa nyumba zinazojengwa NSSF kwa wajumbe wa
Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea mradi wa nyumba za NSSF
Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge wakikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) zilizopo Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam
Wajumbe wa Kamati ya Bunge wakikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) zilizopo Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam.
Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo akiwaonyesha michoro ya ujenzi wa nyumba za Mtoni Kijichi wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea miradi ya NSSF leo.
Meneja Miradi
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo akitoa
ufafanuzi juu ya ujenzi wa nyumba zinazojengwa NSSF kwa wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea mradi wa nyumba za NSSF Mtoni Kijichi
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment