Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Dk. Hamis Kigwangalla akizungumza kabla ya kuzindua chumba kipya
cha kulaza wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika jengo la Mwaisela
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru. (Picha na Francis Dande)
Rais
wa Shirika la Gastroenterology Foundation, Prof. Meihard Classen akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa chumba kipya
cha kulaza wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU)
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Dk. Hamis Kigwangalla akikata utepe kuashiria uzinduzi wa chumba kipya
cha kulaza wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika jengo la Mwaisela
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kulia ni Rais
wa Shirika la Gastroenterology Foundation, Prof. Meihard Classen
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Dk. Hamis Kigwangalla akizungumza mara baada ya kuzindua rasmi chumba kipya
cha kulaza wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika jengo la Mwaisela,
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment