Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (katikati)
akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali Caroline Hanne Van, Raia wa
Denmark kwa niaba ya watoto wawili (kitandani) waliodaiwa kuokotwa jana maeneo
ya Mbezi Beach na kufikishwa hospitalini hapo leo asubuhi, wakati Wafanyakazi
wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu
mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani iliyoadhimishwa leo Machi 8, 2016. Kushoto ni Emel Kudahl Christensen
na wa tatu (kulia aliyekaa) ni Emma Nikoline Wennberg, wauguzi wa kujitolea
kutoka nchini Denmark. Picha na Mafoto Blog
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa
wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya Watoto wachanga/Njiti, wakati
Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada
wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya
Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo

Wanawake Duniani.

Meneja
wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada
wa vitu mbalimbali mzazi aliyejifungua mtoto wa Kiume, Hospitali ya Mwananyama,
Joyce Lucas, mkazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam, wakati Wafanyakazi wa
Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu
mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani iliyoadhimishwa leo
No comments:
Post a Comment