HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 18, 2016

MBUNGE WA KINONDONI AKUTANA NA WANANCHI WA JIMBONI LAKE KABLA YA KWENDA BUNGENI

Mwanachama wa CUF, Julius Mtiro akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Magomeni Barafu jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa kusilikiliza kero za wananchi wa jimbo la Kinondoni ulihutumbiwa na mbunge wa jimbo hilo, Maulid Mtulia (CUF), Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea (CUF), Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob na Kada wa Chadema, Tambwe Hiza.  
Wakazi wa jimbo la Kinondoni wakisikiliza mkutano wa hadhara uliohutubiwa na mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia wa kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo kwa ajili ya kuziwasilisha bungeni.
Wananchi mkutanoni. 
Wananchi wakikimsikiliza mbunge wao.
Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea akihutubia mkutano wa kusikiliza kero wananchi uliofanyika katika uwanja wa Barafu.
Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia akizungumza na baadhi ya wananchi wa jimbo lake wakati wa mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi na kuziwasilisha bungeni.

No comments:

Post a Comment

Pages