HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 11, 2016

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSU MTANGAMANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Wabunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania, (EALA), Makongoro Nyerere akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dares Salaam jana, kuhusu watanzania kuchangamikia fursa za kibiashara katika nchi za Jumuiya hiyo. Wa pili kulia ni mbunge wa EALA, Shy-Rose Bhanji. (Picha na Francis Dande)
 Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania, (EALA), Shy-Rose Bhanji akifafanu jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu watanzania kuchangamikia fursa za kibiashara katika nchi za Jumuiya hiyo. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania, (EALA), Makongoro Nyerere.
 Waandishi wa habari.
 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Abdullah Mwinyi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Sar es Salaam, leo.
 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Adam Kimbisa akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Sar es Salaam, leo.

NduguWanahabari

Bunge la AfrikaMashariki ni mojawapo wa vyombo (Organs) vya Jumuiya ya Afrika Mashariki vilivyoanzishwa kwa mujibu wa Ibaraya 9 (1) ya Mkataba wa Uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. 

Majukumu ya Bunge la Afrika Mashariki ni kutunga sheria, kuwakilishawa na nchi na kusimamia utendaji wa vyombo vingine vya Jumuiya.

 Bunge lina jumuisha wabunge 9 wanaochaguliwa kutoka kila Nchi Mwanachama, Mawaziri au Naibu Mawaziri wanaosimamia masuala ya Afrika Mashariki kutoka kila Nchi Mwanachama, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Mwanasheria wa Jumuiya. 

Kulingana na mgawanyo huu, Bunge linajumla ya Wabunge 45 wa kuchaguliwa na Wabunge wengine saba  .

NduguWanahabari

Wabungewa Tanzania katika Bunge la AfrikaMashariki waliopo hivi sasa niMhe. Makongoro Nyerere, Mhe. TwahaTaslima, Mhe. Nderakindo Kessy, Mhe. AbdulahMwinyi, Mhe. Adam Kimbisa, Mhe. Maryam Ussi, Mhe. Angela Kizigha, Mhe. Shy-Rose BhanjinaMhe. Bernard Murunya.

NduguWanahabari

Kama mnavyofahamu, Jumuiya ya Afrika Mashariki ilianzishwa rasmi mwaka 1999 na nchiza JamhuriyaMuunganowa Tanzania, Jamhuriya Kenya naJamhuriya Uganda. Mwaka 2007, ziliongezekaJamhuriya Burundi naJamhuriya Rwanda. Hivisasa, taratibuzinakamilishwailiJamhuriyaSudaniKusiniiwezekujiungarasminaJumuiyahii. Ni ukweliusiopingikakuwaJumuiyayaAfrikaMasharikiimekuwakivutiokwawengindiyomaananchinyingizimeendeleakujiunganayo. FursazilizopokatikaJumuiyayaAfrikaMasharikindiyokivutionasababuyamsingiinayozisukumanchimbalimbalikuendeleakujiunganaJumuiyayetu.
NduguWanahabari
KulingananaMkataba, mtangamanowaJumuiyayaAfrikaMasharikiunatekelezwahatuakwahatuakatikahatuanne. HatuahizoniUmojawaForodha, Soko la Pamoja, UmojawaFedhanaShirikisho la Kisiasa. Vilevile, MkatabaumeainishamaeneoyaushirikianoambapoNchiWanachamazimekubalianakushirikianakatikasektambalimbaliikiwemobiashara, uwekezajinamaendeleoyaviwanda, sektayafedha, miundombinu, sayansinateknolojia, kilimonachakula, mazingiranamaliasili, utaliinawanyamapori, siasa, ulinzinausalamanakatikasektaya sharia namahakama.
NduguWanahabari
HatuayaUmojawaForodhailianzarasmimwaka 2005 baadayanchiwanachamakuridhiaItifakiyaUmojawaForodhanabaadaye Bunge la AfrikaMasharikililitungasheriayakusimamiaUmojawaForodhawaJumuiyayaAfrikaMashariki. UmojawaforodhaumefunguamilangoyabiasharakwawananchikwakuondoaushuruwaforodhakwabidhaazilizozalishwandaniyaJumuiya. Wananchiwanauhuruwakupelekeabidhaazaokatikanchiyeyotemwanachamabilavizuizihaliiliyoongezaukubwawasokonauborawabidhaakutokananaushindani. Hivyotunawahamasishawatanzaniakuchangamkanakuzitumiafursazakibiashara.
NduguWanahabari
HatuayaSoko la PamojaimeanzishwanaItifakiyaSoko la Pamoja la JumuiyayaAfrikaMasharikiiliyoanzakutekelezwamwaka 2010. Soko la PamojalimetoauhuruwawatuwaAfrikaMasharikikwendapopotekatikaJumuiya, hakiyakuishipopotekwa wale wenyeshughulimaalum, uhuruwakufanyakazimahalipopote, uhuruwakusafirishamitajinauwekezajipamojanauhuruwakufanyabiasharayahudumakatikanchiyoyotewananchama. Kama tunavyoona, niwakatiwawatanzaniakufungua macho nakuangaliafursazilizokondaninanjeyaJamhuriyaMuunganowa Tanzania.
NduguWanahabari
HatuayatatukatikaMtangamanowetuniUmojawaFedha. Katikahatuahii, nchiwanachamazitawekautaratibuwakutumiakwafedhamojakatikanchizotewanachama. Hatuahiyonimuhimusanakatikakurahisishabiasharanamaishakwaujumlakwaniitatuwezeshakuondokananakubadilishafedhakilaunapovukampakakutokanchimojakwendanchinyingine. MajadilianoyaItifakiyaUmojawaFedhayalikamilikamwaka 2013ambaponchiwanachamazimepeanakipindi cha maandalizi cha miakakumikuanziamwaka 2014. Ni matarajioyawengikuwaifikapomwaka 2024, nchizotezitakidhinahivyokuanzakutumiafedhayaJumuiyayaAfrikaMashariki.
NduguWanahabari
HatuayaNneyaMtangamanowetuniShirikisho la Kisiasa. HatuayaNneinalengakuionaJumuiyayaAfrikaMasharikiikiwanchimojachiniyamfumowashirikisho. Hatuahiyoitatuongezeanguvukatikanyanjazotenakutufanyakuwawamojazaidi. Katikakufikiahatuahiyo, zipojuhudinyingizinazofanyikaikiwemokuanzishavyombokama Bunge la AfrikaMashariki, MahakamayaAfrikaMashariki, ushirikianokatikamasualayaulinzinausalamanakatika sera za mambo yanje.
NduguWanahabari
Kama tulivyosema, kinachotolewanaJumuiyanifursa. Fursazinahitajiwatuwazichangamkieiliziwezekuwaleteamatunda. Watanzaniatunapaswakuzichangamkiafursahizokwakushindananaraiawanchinyinginewanachamailituwezekunufaikanamtangamanowetu. Hatahivyo, Bunge la AfrikaMasharikilimegunduakuwamojayavikwazovinavyosababishawananchiwengiwashindwekuzichangamkiafursazamtangamanonikukosauelewawakutosha. Watuwengihawanataarifasahihinazakutoshajuuyamtangamanondiyomaanawanaendeleakuwawasindikizajihukuwakilalamika. Kutokananasababuhiyo, Bunge linaendeshaprogram yauhamasishajiwamasualayaMtangamanowaAfrikaMashariki. Kaulimbiuya Program hiiniKunufaikanaFursazaMtangamano (Accessing the Gains of Integration). Program hiiinatekelezwanaWaheshimiwaWabungewa Bunge la AfrikaMasharikikutokakilaNchiMwanachamakwakufanyauhamasishajikatikaNchizao.
NduguWanahabari
Katikakutekeleza program hiyo, sisiWabungewa Tanzania katika Bunge la AfrikaMasharikikwaumojawetututafanyauhamasishajikatikaMkoawa Dar es Salaam. Program hiiilianzakutekelezwatarehe 4 Aprilinainategemewakukamilikatarehe 23 Aprili, 2016. Katikautekelezaji, tunategemeakukutananaWabungewa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania kupitaKamatiza Bunge hilo, kutembeleaTaasisizaElimuyaJuu, KutembeleaVyombovyaHabarinakutembeleamasokoyaKariakoonaFeri. 
NduguWanahabari
tunaombatumaliziekwakutoawitokwawatanzaniakuwawawemsitariwambelekatikakutafutataarifakuhusufursazaMtangamanowaAfrikaMashariki. Katikaulimwenguhuuwautandawazi, taarifanyingizipokatikamikonoyetu. Kama tutaitumiavizuriteknolojia, tutapataelimuyakutoshakutokakwenyemitandaoitakayotusaidiakuzitambuanakuzitumiafursazitokanazonaMtangamanowaAfrikaMashariki.

Witowetuni:
TUCHANGAMKIE FURSA ZITOKANAZO NA MTANGAMANO WA
JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

ImeandaliwanaWabungewa Tanzania katika Bunge la AfrikaMasharikiambaoni:
1.      Mhe. MakongoroNyerere       MbungenaMwenyekiti
2.      Mhe. TwahaTaslima               MbungenaKatibu
3.      Mhe. NderakindoKessy           Mbunge
4.      Mhe. AbdulahMwinyi             Mbunge
5.      Mhe. Angela Kizigha               Mbunge
6.      Mhe. ShyroseBhanji                Mbunge
7.      Mhe. Adam Kimbisa               Mbunge
8.      Mhe. Maryam Ussi                 Mbunge
9.      Mhe. Bernard Murunya          Mbunge


No comments:

Post a Comment

Pages