HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 12, 2016

Wafanyakazi NMB Wasaidia Wagonjwa Muhimbili na Sinza Hospitali

Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (wa tatu kushoto) akikabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi. Agness Mgaya (kulia) baadhi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito. Katikati akishukuru ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika. 
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Pages