Wananchi wakiwa wamebeba mwili wa mmoja wa watu waliofariki kwa kuangukiwa na kifusi eneoa Ukwamani Kawe jijini Dar es Salaam, leo.
Wafanyakazi wa Uokoaji wakiwa wamebeba mwili wa mmoja waliofariki katika ajali ya kuangukiwa na kifusi leo.
Wananchi wakishiriki kuokoa miili ya watu waliofukiwa na kifusi katika eneo la Ukwamani Kawe jijini Dar es Salaam leo.
Zoezi la uokoaji likiendelea.
Watu wakiwa wamekisanyika katika eneo la tukio kusaidia zoezi la uokoaji.
Utafutaji wa miili iliyofukiwa na kifusi ukiendelea.
Wananchi wakishirikiana na wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kutafuta watu waliofukiwa na kifusi.
Kikosi cha uokoaji kikishiriki kuopoa miili iliyoangukiwa na kifusi.


No comments:
Post a Comment