HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 02, 2016

NSSF YATOA ELIMU YA HIFADHI YA JAMII KWA WANAMUZIKI WA DANSI


Ofisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mpambano wa nani zaidi kati ya Msondo na Sikinde uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. NSSF ilidhamini onyesho hilo na kutoa elimu juu ya hifadhi ya jamii kwa wanamuziki wa dansi na wadau mbalimbali wa muziki waliohudhulia tamasha hilo. (Na Mpiga Picha Wetu)
 Ofisa Mwandamizi  Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto) akimkabidhi fulana,  Jumanne Mnola alipotembelea banda la NSSF wakati wa mpambano wa nani zaidi kati ya Msondo na Sikinde kudhaminiwa na NSSF.
 Ofisa Mwandamizi  Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto), akimkabidhi fulana mmoja wa wateja wao, Said Ally, alipotembelea banda lao.
 Ofisa Mwandamizi  Masoko na Uhusiano (Nssf), Amina Mbaga akigawa vipeperushi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao.
 Ofisa Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee, akigawa vipeperushi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao katika tamasha la muziki  ambapo bendi za Msondo na Sikinde zilichuana.
 Wafanyakazi wa NSSF wakimkabidhi fulana mteja wao, Antela Salumu (katikati).
 Ofisa wa NSSF, Innocent Shao, (kulia) akiwaandikisha baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na NSSF.
Ofisa uandikishaji NSSF, Amina Kisawaga (kulia) akitoa maelezo kwa mteja alietembelea banda lao Fumbwe Juma.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages