HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 26, 2016

TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii linapenda kuwatangazia wadau wake wote na Umma kwa ujumla kua kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu, Mkutano wa Sita wa Wadau uliokua ufanyike tarehe 1-2 Juni, 2016 jijini Arusha umeahirishwa.

Tarehe mpya ya mkutano huo itatangazwa kwenye vyombo vya habari. Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza. Kwa maelezo zaidi tafadhali usisite kuwasiliana na Idara ya Masoko na Uhusiano na Huduma kwa Wateja au Meneja NSSF Mkoa wa ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na; Meneja Kiongozi, Idara ya Masoko na Uhusiano Simu ya Bure: 0800 75 6773 Barua Pepe: info@nssf.or.tz 

No comments:

Post a Comment

Pages