Askari Polisi wakizima moto uliokuwa umewashwa na wafanyabiashara
ndongondogo ‘maarufu kwa jina la wamacchinga’ waliokuwa wamepanga bidhaa zao
chini katika katika mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam leo, wakipinga
kuondolewa katika mtaa huo. (Picha na Francis Dande)
Polisi wakizima moto uliowashwa na wamachinga.
Askari wakiwa wameimarisha ulinzi katika mtaa wa Kongo.
Zoezi la kuzima moto likiendelea.
Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya kuondolewa kwa wamachinga.
Wanachi wakipita katika Mtaa wa Kongo bila usumbufu wowote baada ya wafanyabiashara wanaopanga bidhaa zao chini kuondolewa na Polisi leo.
Gari la Polisi likiwa katika mtaa wa Kongo.
Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi Mtaa wa Kongo.
Garoi la Polisi likimwaga maji kuzima moto uliokuwa unawaka.
Wananchi wakiendelea na shughuli zao kama kawaida.
Polisi wakizima moto.
No comments:
Post a Comment