HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 01, 2016

PICHA ZA MATUKIO YA KUPATWA KWA JUA

Meneja mahusiano wa shirika la hifadhi za Taifa  (Tanapa)kushoto, mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla katikati na mkuu wa mkoa wa Songwe luteni mstaafu Chiku Gallawa wakiangalia tukio  la kupatwa kwa jua katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya. (Picha na Loveness Bernard)
Mkuu wa Mkoa wa Songwe wa kwanza kushoto, Luteni mstaafu Chiku  Galawa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amosi Makalla (kulia) wakiwa na baadhi ya wananchi wakishuhudia tukio la kupatwa kwa jua, Mjini Rujewa Wilayani Mbarali, Mkoani hapa.
Muonekano wa jua baada ya kuanza kupatwa tukio Hilo lilionekana vizuri katika mji mdogo wa Rujewa wilaya ya mbalali mkoani Mbeya 
Mnajumu, Dk Danile Chu Owen kutoka Uingereza anayefanya kazi na Kampuni ya Traveling Telescope ya Kenya akitumia Annular Eclipse kuonyesha  jinsi ya jua linavyopatwa , kwenye kambi maalumu iliyokuwa Rujewa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Pages