HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 12, 2016

TEA YAFADHILI UJENZI WA NYUBA 18 ZA WAALIMU WILAYA YA MLELE KATAVI

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda akiwa pamoja na Mwenyekiti Bodi ya TEA Dk.Naomi Katunzi na Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Bw. Joel Laurent wakikagua eneo la ujenzi wa nyumba za waalimu zinazofadhiliwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), katika Shule ya Msingi Kakuni Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Wilaya ya  Mlele.
Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda akiwa pamoja na Mwenyekiti Bodi ya TEA Dk. Naomi Katunzi na Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Bw. Joel Laurent wakikagua eneo la ujenzi wa nyumba za waalimu zinazofadhiliwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), katika Shule ya Msingi Kakuni Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Wilaya ya  Mlele.
  Murugenzi wa Sheria wa NHC akionesha nyaraka za ujenzi wa Nyumba za waalimu shule ya Msingi Kakuni. Ujenzi wa nyumba hizi unafadhiliwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania. (TEA )  pembeni ni waziri mkuu mstaafu, mwenyekiti wa Bodi ya TEA  na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Bi.  Rachel  Kasanda. 
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Ndugu, Joel Laurent akipeana  mkono na  Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, baada ya kushuhudia  makabidhiano ya nyaraka na eneo la ujenzi wa nyumba za waalimu katika Shule ya Msingi Kakuni iliyopo wilaya ya Mlele, Katavi. Katikati ni Mkurugenzi wa Sheria wa NHC, Martin Mdoe ambao ni wanashirikiana na katika uendelezaji huo.
 Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Bibi Rachel Kasanda  wa pili  kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TEA, Dk. Naomi Katunzi (katikati), Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Bw. Joel Laurent (kushoto) pamoja na viongozi mbalimbali wa Kata na Halmashauri ya Mpimbwe, Mlele, Katavi.

No comments:

Post a Comment

Pages