HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 14, 2016

ZANTEL YAKABIDHI ZAWADI YA PROMOSHENI YAKE YA 'JIBWAGE NA MBUZI'

 Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha (wa pili kulia) akikabidhi mbuzi kwa washindi wa promosheni ya jibwage na mbuzi,wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hizo kwa washindi iliyofanyika juzi mjini Zanzibar. Kulia ni Abdalla Yussuf (wa pili kushoto) ni Arafa Mohamed Dadi na Abrahman Mohamed Abdalla.

 Meneja mauzo wa Zanztel, Yussuf Ismail (kulia) akikabidhi mbuzi kwa mshindi, wa shindano la Jibwage na Mbuzi, Hemed Ali Omar wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hizo iliyofanyika mjini Zanzibar, juzi. Picha na Mafoto Blog

No comments:

Post a Comment

Pages